Daktari bingwa wa upasuaji wa
Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hussein Hassanali
(kulia) kwa kushirikiana na mwenzake wa Taasisi ya Healing Little Heart
ya mjini London nchini Uingereza Ramana Dhannapuneni (kushoto)
wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha mlango wa moyo ambao
unamatatizo na kumuwekea mwingine leo katika kambi maalum ya matibabu ya
moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa
sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Madaktari bingwa wa upasuaji wa
Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na
wenzao wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini
Uingereza wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo leo katika kambi maalum
ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla
ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Picha na Anna Nkinda – JKCI
No comments:
Post a Comment