Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mkurugenzi wa kinga na
Elimu ya Afya Dk.Fadhil Mohamed Abdalla wakati alipotembelea ujenzi wa
kituo kipya cha Afya Ngomeni Wilaya ya Cheke Chake Mkoa wa Kusini Pemba
leo, akiwa katika ziara maalum ya kikazi.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Kituo kipya cha ZSTC cha
kununulia Karafuu katika kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa
wa Kusini Pemba,uzinduzi huo umefanyika leo katika ziara maalum ya
kikazi katika Mkoa huo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC
Dkt.Said Seif Mzee (katikati)mara baada ya kukizindua kituo cha shirika
la ZSTC cha ununuzi wa Karafuu katika kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Cheke
Chake Mkoa wa Kusini Pemba leo, akiwa katika ziara maalum ya kikazi
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kulia) akiangalia kituo cha shirika la ZSTC cha ununuzi wa Karafuu
katika kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Cheke Chake Mkoa wa Kusini Pemba
leo, akiwa nje mara baada ya kukizindua leo (katikati) Mkurugenzi
Mwendeshaji wa ZSTC Dkt.Said Seif Mzee uzinduzi huo umefanyika wakati
Rais akiwa katika ziara maalum ya kikazi.
Maafisa
mbali mbali na Wananchi wakiwa katika sherehe za Uzinduzi wa Kituo kipya
cha Shirika la ZSTC cha kununulia karafuu katika Kijiji cha Ngomeni
Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,uzinduzi uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hatupo pichani),(Picha na Ikulu) 04/04/2017
No comments:
Post a Comment