Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii
na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Rashid Ali Juma
akizungumza na waandishi juu ya Maendeleo ya Michezo ya Zanzibar kwa
ujumla leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari juu
ya hatua mbalimbali SErikali inazofanya katika kuimarisha Michezo
nchini.Kulia kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Rashid Ali Juma na Kushoto kwake
ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas
No comments:
Post a Comment