MwenyeKiti wa kata ya Ungindoni Abeid Iddi Ameitaka serikali kuunga mkono juhudi anazo Fanya mwenyekiti huyu na wananchi wake.
Ameyasema hayo leo ofisini kwake akisherekea sikuku ya Wafanya kazi alieza changamoto alizokumbana nazo kipindi ananza kazi katika mtaa wake WA ungindoni ikiwemo matengenezo ya Barabara za mitaa alifufua visima vya maji pamoja na ujenzi wa soko pamoja na kuunda ulinzi shirikishi.
Kwa upande mwengine mwenyekiti amempogeza diwani wa kata ya mjimwema .Celestine P. Maufi
Kwa ushirikiano aliotoa kwa mwenyekiti huyo amesema"
Diwani wa kata ya mjimwema amefanya mambo mengi sana na nimeshirikiananae kwenye kuleta mabadiliko ya kata Ungindoni "alisema Abeid Iddi.
Pamoja na hayo amempongeza rais kwa juhudi anazo zifanya katika kuleta maslai kwa wananchi kwa ujumla bila ya kujali vyama...
..
Monday, 1 May 2017
Mahojiano
No comments:
Post a Comment