Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa magari yapatayo 26 kwa ajili ya doria ambao yanayoenda kutengenezwa mkoani kilimanjaro
Lengo la mkuu wa mkoa ni kuimarisha mkoa kiusalama hususa kwenye upande wa doria muda wa usiku maana ndio muda unao fanyika matukio mbalimabali ya kialifu lengo la kutengeneza magari hayo .
kwa upende mwengine mkuu wa mkoa alipokua akizungumza na wananchi aliwahakikishia uwepo wa usalama na kutoa takwimu za upungufu wa matukio ya kialifu katika mkoa wake alitumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania John Pombe Magufuli kwa juhudi kubwa anzo fanya kupigania haki za watanzania
Kwa upande wake kamanda kaimu wa kanda maalum Frtunatus Muslim amempongeza Rais John Pombe Magufuli Pamoja na mkuu wa mkoa kwa juhudi kubwa wanazo fanya kwajili ya kuendeleza uimarishaji wa usalama katika jiji la dar es salaam...
No comments:
Post a Comment