• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday 29 June 2017

    Diamond azindua bidhaa mpyaa

    Msanii wa  bongo fleva Dimond platinum amekuja na   bidhaa mpya ambayo itakuwa inauzwa kwa bei ya tsh. 300 tu, na ameifungua leo hii ya tarehe 29-06-2017 ya alhamisi ya wiki hii katika viwanja vya karume leo jijini dar-es-salaam.

      lengo la kuja na bidhaa  hiyo ni kuendelea kutoa fursa hasa kwa vijana kupata ajira na ametoa bidhaa hiyo Mara baada ya kuja na perfume yake hivi karibu.

    Aidha amebainisha kuwa bidhaa hiyo haitauzwa Tanzania tu bali itakuwa inapatika mpka nchi za Africa Mashariki bidhaa hiyo ya karanga.pia ilisema kuwa ameandaa magari 90 yakusambaza karanga na katika hayo magari moja ameajiri watu wasopungua 5 pamoja na drive wa gari hiyo.

    Pia alitoa shukrani kwa  wananchi na wadau wake wa wcb ambao wanampa sapot kubwa chibu dangote na waandishi waliopo pia ''akasema'' viwanda vipo apa apa kwetu nifaida kwa wauzajo na walimaji wote wa zao hili.na muandishi VABY AZRAH Z4NEWS BLOG

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI