• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday 29 June 2017

    CUF YAWAKALIA PABAYA RITA



    Bodi ya wadhamini Wa chama cha Cuf  wamendelea kusimamia kesi ya kuishtaki Rita kwa kitendo kughushi nyaraka kwa ajili kukandamiza kwa upande wa Maalim Sefu

    Katibu Mkuu wa bodi ya wadhani aliendele kusisitiza kua msajili wa vyama vya siasa amekiuka  utaratubu kwahiyo watakikisha kila jambo linakaa sawa...


    Kwa upande mwengine katibu ameatoa wasiwasi wanachama wa chama cha Cuf kua waanamni kua mahakama itatenda haki watuli wasiwe na wasiwasi


    Kwa upande wake wakili Juma Nasoro aliendelea kukazia kua kesi iyo itakwenda kihalali kutoka na kesi jinsi ilivyo ..alisema ,,kutoka na mamuzi walio Fanya Rita kuchangua viongozi wa chama pasipo wanachama kutambua imepeleke katibu wa chama kufuangua kesi juu ya hawa Rita na msajili wa vyama

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI