• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday 28 June 2017

    Maalim Sefu Aibana Rita

    Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF amesema kuwa haki yake na ya wananchi wa Zanzibar kwenye uchaguzi wa  Oktoba 25 mwaka 2015, itapatika hivi punde na haitafika Miezi mitatu.
    Maalimu Seif amesema hayo leo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam .

    Maalimu seif amesema kuwa hujuma zinazoendelea ni kutaka kupoteza haki ya wananchi wa Zanzibar itakayopatikana hivi karibuni.

    "Nina uhakika kabisa tena sina wasiwasi hata kidogo kuwa haki itapatikana  hapa tulipofika ni mwenyezi mungu mwenyewe
    " amesema.

     Hata hvyo maalim sefu amewataka viongozi wa Rita kuhakikisha wanatenda haki kwani wao ni tasisi inayo aminika  na kusimamia 

    aliendelea kukazia kwa kuto fahamu  uwepo wa kwenye chama Ibrahim Lipumba kwa yeye alijiudhulu siku alio agiza kuvamia wanachama wa chama cha cuf kutokan na sheria ya katiba ya chama hicho
     

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI