Mwakilishi
wa Taasisi ya Wel tel Story ,watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz,Alan
Lucky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu
kufunguliwa kwa kijiji cha Shujaaz katika Mashindano ya vijana ya Afrika
Mashariki maarufu kama East Africa Cup 2017 yanayofanyika katika shule
ya Sekondari Moshi Ufundi .
Baadhi
ya Wageni wakijiandikisha kabla ya kuingia katika kijiji hicho ambako
kumekuwa kukitolewa mafunzo mbalimbali hasa ya Kilimo .
Mratibu wa Tafiti wa Mradi wa Shujaaz,Winnie Nyato akitoa tiketi kwa mmoja wa watoto waliotembelea kijiji cha Shujaaz .
Mhitimu
wa Chuo Kikuu cha Dodoma ,Mohamed Kombo anayejishughulisha na Kilimo
cha matunda akizungumza na vijana waliofika katika kijiji cha Shujaaz
kuona namna gani wanaweza kuhamasika na kuingia katika shghuli za
Kilimo.
Mjasiliamali
Khalfa Muslim akitoa elimu jinsi ya kutengeneza mchanganiko wa Matunda
kwa vijana waliotembelea kijiji cha Shujaaz kilichopo katka viwanja vya
Shule ya sekondari Moshi Ufundi yanapofanyika mashindano ya East Africa
Cup 2017.
Mjasiliamali
Holo Bukombe akionesha bidhaa mbalimbali ambazo amekuwa akiziweka
katika vifungashio maalumu na kuongeza thamani ya bidhaa husika.
Afisa
Masoko wa kamuni ya YARA Ltd ,Linda Byaba akitoa elimu kuhusu kilimo
bora na chenye tija na jinsi ya kuongeza thamani ya mazao mbalimbali
ikiwa ni pamoja na matumizi ya Mbolea kwa Mwakilishi wa taasisi ya Wel
tel Story ,Alan Lucky.
Muonekano
wa kijiji cha Shujaaz kilichopo katika Shule ya Sekondari Moshi Ufundi
ambako elimu mbalimbali hususani za Kilimo pamoja na michez kwa vijana
imekuwa ikitolewa.
Baadhi ya watoto wakishindana michezo mbalimbali (Games) katika kijiji cha Shujaaz.
Vijana wengine wamepaa fursa ya kucheza mchezo wa mitupo ndani ya kijiji hicho.
Vijana wengine walipata nafasi ya kuonesha vipaji vyao hasa vya kuimba na kucheza na kuambulia zawadi kutoka Shujaaz.
No comments:
Post a Comment