OFISI YA WAZIRI MKUU YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Ofisi ya Waziri Mkuu imeadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma ambayo hufanyika kila mwaka kuanzia Juni 16-23 Barani Afrika, kwa mwaka huu kauli mbiu ni “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma: Vijana washirikishwe kuleta Mabadiliko Barani Afrika”.
Dira ya Ofisi hiyo ni kutoa huduma kwa umma katika mazingira shindani ya kiuchumi ili kuwa na maendeleo emdelevu, aidha Dhima ya ofisi hiyo ni Kuratibu na kusimamia utoaji wa huduma zenye kuleta matokeo yanaotarajiwa katika sekta zote ili kujenga mazingira ya kiuchumi kwa maendeleo enndelevu.Ofisi ya Waziri imekuwepo tangu mwaka 1962. Mwaka 1977, Ofisi ilipewa hadhi yake kisheria kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ilianzisha wadhifa wa Waziri mkuu.
MAELEZO
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiongea na wafanyakazi wa ofisi hiyo (hawako pichani) wakati wa mkutano wa kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma uliofanyika leo jijini Dar es salaam tarehe 23 Juni, 2017.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mjadala wakati wa mkutano wa Kuadhinmisha wiki ya utumishi wa umma uliofanyika leo jijini Dar es salaam tarehe 23 Juni, 2017.

No comments:
Post a Comment