Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi
wa habari (hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa
Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni,2017 yenye kauli mbiu
“Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma,Vijana
washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni Naibu
katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi,Susan Mlawi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akiwa katika mkutano na
waandishi wa Habari leo Mjini Dodoma.
PichanaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA
No comments:
Post a Comment