• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 9 June 2017

    MAKONDA atoa Fursa kwa wananchi wa jiji la dar es salaam

    KUFUATIA ongezeko la uzalishaji maji katika mitambo ya ruvu juu na ruvu chini Wananchi wakaazi wa jiji la dar es salaam wametakiwa kufika katika ofisi za dawasco ili kuunganishiwa huduma ya maji kwa mkopo.

    Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul Ma
    konda alipokua akizungumza na waandishi wa HABARI Mara baada ya kufanya ya ziara Ruvu juu na chini ambapo amesema kwa sasa uzalishaji wa maji umefikia zaidi ya Lita milioni miamoja tisini na sita kwa siku kutoka Lita za awali ambazo no chini ya elfu themanini.

    Aidha luhemog ameongeza kuwa kwa sasa wanashughikia kuweka mtandao wa kutosha wa maji katika maeneo mbalimbali ya jiji LA dar es salaam ili kuhakikisha wananchi wrote wa jiji wanafaidika na ongezeko hilo LA uzalishaji hivyo no muhimu kwa wananchi kufanya maombi ya kuwekea maji hata kama hawana pesa kwa sasa wataingiziwa kwa mkopo na watalipa taratibu taratibu.

    Kwa upande wake Kaimu Afisa Miradi wa DAWASA Bwana Rimonuce Mwanyun'go amesema tayari kuna wakandarasi ambao wanaendelea na uwekaji wa miundombinu ya mtandao wa maji katika jiji LA Dar es salaam hivyo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja maeneo mengi ya jiji uatakuwa na mtandao wa mabomba ya maji.

                                               ,.......,...............







    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI