• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 7 June 2017

    Zoezi la upandaji miti ya mikoko bonde la Pondeani , Tumbe

     WANANCHI wa Tumbe, Kamati za mazingira na jumuiya ya Vijana Wa Tumbe na Viongozi wa Serikali wakipanda miti ya Mikoko katika bonde la Pondeani Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

     MITI mbali mbali ya Mikoko ikiwa imepandwa katika bonde la Pondeani Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila Juni 5 ya Kila mwaka.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

    AFISA habari kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Nassor Ali Salum akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kumaliza kazi ya upandaji wa Mikoko huko Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI