Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul Makonda ametoa msaada ya chakula isiyo pungua mifuko 1500 mchele unga sukari pamoja na mafuta ndoo 500 kwa maimu jiji dar es salaamKutoka na mfungu wa ramadhani waislam ni munda wao wa kujiweka karibu na mwenyezimungu ili kufanya ibaada kwa utulivu .Mkuu wa mkoa akaona bora kutoa misaada kwa ajili ya kuwasaidia viongozi wa dini ili kwendesha ibada zao kwa utulivu.
Paul Makonda ambae ni Mkuu wa mkoa alitumia Fursa hiyo kuwahutubia waislam juu ya amani pamoja na ushirikiano katika kulinda taifa
Kwa upande mwengeni Paul Makonda aliwaeleza waislam juhudi kubwa anazo Fanya ili kuliweka jiji katika hadhi yake akishirikana na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli
Paul Makonda aliendelea kuwasisitiza waislam katika kipindi hichi cha ramadhani kua swala la usalama kimkoa upo sawa pia amewataka wenye maduka kaubwa kufungua mpaka usiku kwa ajili ya watu kufanya manunuzi katika msimu huu wa Ramadhani
No comments:
Post a Comment