Aliyekuwa Mr University 2002, Matukio Chuma Ijumaa hii amepokelewa na umati wa mashabiki katika Uwanja wa JK Nyerere Airport a akitokea nchini Marekani alipokuwa akifanya shughuli zake za masomo.
Akiongea na waandishi wa habari mapema leo muda mchache baada ya kuwasili, Chuma amesema akiwa nje ya nchi amejifunza kuthubutu pamoja na kutafuta fursa kwaajili ya Watanzania wenzake.Aliongeza, "Pia safari yangu imekuwa na mafanikio wengi kwa Watanzania ingawa wengi walikuwa hawachangamkii fursa, nimetoa fursa nyingi sana kupitia mitandao lakini Watanzania hawazichangamkii, tunajiweka nyuma sana kwenye mambo mengi,"
Msomi huyo aliweza kulikuwa na mastaa mbalimbali as filamu akiwemo Bela Fasta, Baby Madaha pamoja na msanii wa BongoFleva Z Anto.Na muandishi Vaby Azrah Z4news.
No comments:
Post a Comment