• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday 29 July 2017

    DK. SHEIN AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB,CHAKE CHAKE PEMBA.

    DSC_6655
    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) alipokuwa akikata utepe kuzindua Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake chake Pemba leo,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla,akifuatatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB  Bw.Ally Hussein Laay wengine (kulia) Mkugenzi Mtendaji wa CRDB Dr.Charles Kimei,[Picha na Ikulu.]
    DSC_6662
    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipeana mkono wa shukuranmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB  Bw.Ally Hussein Laay  mara baada ya  kuzindua Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake chake Pemba leo,[Picha na Ikulu.]
    DSC_6684
    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati)  akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea katika Ofisi za Benki ya RCDB baada ya kiuzindua rasmi leo (kulia) Meneja wa Tawi la CRDB Chake chake Pemba Nd,Hamadi Abubakar na (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira poia akiwa kaimu Waziri wa Fedha na Mipango Salama Aboud Twalib,[Picha na Ikulu.]
    DSC_6708
    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein na Meneja wa Tawi la CRDB Chake chake Pemba Nd,Hamadi Abubakar (katikati) pamoja na Viongozi wengine na Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa  Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake chake Pemba uliofanyika leo,[Picha na Ikulu.]

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI