• Breaking News

    ..

    ..

    Saturday 29 July 2017

    BODABODA WILAYA YA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMUUNGA MKONO RAIS DK. MAGUFULI


    pik1

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akizungumza na madereva wa Bodaboda wilaya ya Ilala baada ya kupokea  maandamano yao leo yaliyokuwa na leongo la  kupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwa Utendaji kazi wake.
    Madereva hao walitoa kilio Chao kwa Serikali  kutokana na askari na mgambo kuwakamata mara kwa mara  wakiwa katika shughuli zao za kila siku na kuomba amri ya kukamatwa iondolewa ili waweze kufanya shughuli zao za kutafuta riziki bila usumbufu
    .
    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akipokea maandamano ya  madereva wa Bodaboda wilaya ya Ilala leo jijini Dar es salaam kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Ndugu Edward Mpogolo.

    Baadhi ya wadereva wa Bodaboda wakimshangilia mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kupokea maandamano yao leo jijini Dar es salaam.
    pik3
    Baadhi ya madereva wa Bodaboda wakiwa katika maandamano hayo.
    pik4

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI