• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday 30 July 2017

    Sharifa Majini aibua mapya mbele ya she Mkuu Wa Mkoa


    Sheikh Mkuu Wa Mkoa  alhadi musa   amempongeza Rc Makonda kwa juhudi kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo  katika Mkoa Wa dar es salaam.


    Ameyasema hayo Leo katika viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alipokua Wanaomba dua ya kutibu matatizo  ya Majini dua ilio fanyika siku mbili mfululizo ikiongozwa na sheikh sharifu Majini.

    Hata hivyo alitumia nafasi hiyo kuiombea serikali kuendelea kufanya  Kazi .kutoka na  juhudi kubwa inayo fanyika ya kuendeleza maendeleo mchini alitumia nafasi hiyo kuwasi waumini Wa dini ya kiislam kuwaunga mkono viongozi Wa dini na serikali katika maendeleo ya taifa.

    Kwa upande sharifu Majini amewataka waislam wote nchini kuepukana na matatizo yatokanayo na Majini  ambayo dawa za kuondoa zina patikana alisema"" lazima tuakikishe tunaepukana na maradhi ya Majini kwani dawa yake ni mafuta maluum ambayo yaneleta mafanikio kwa haraka pia hutumika kwa watu wilio fanyiwa mambo mbali ya kushirikina mafuta hayo  yanapatikana  kwa bei nafuu"alisema Sharifu Majini .

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI