Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akizungumza jambo na Kamanda wa Polisi mkoa wa
Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Debora Magiligimba, IGP Sirro
amepita mkoani Singida, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa
ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akiweka saini katika kitabu cha wageni katika kituo
cha Polisi cha Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, na kuzungumza na baadhi
ya askari na maofisa (hawapo pichani), IGP Sirro, amepita katika wilaya
hiyo, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja
na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya
ya Manyoni (OCD) Cleophace Magesa, IGP Sirro, amepita katika wilaya
hiyo, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo
wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na
kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
No comments:
Post a Comment