Bw, Keneth Kaini mfanyakazi wa
taasisi ya Global Education Link (GEL) akitoa maelekezo jinsi mfumo wa
udahili na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi unavyoanya kazi katika
taasisi hiyo yenye ofisi viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini
Dar es Salaam.
Mkurungezi wa Taasisi ya Global
Education Link (GEL)Bi. Zakia Nasar akitoa maelekezo ya huduma za
taasisi hiyo kwa wateja waliofika katika ofisi hiyo iliyopo viwanja vya
Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Bw, Keneth Kaini mfanyakazi wa
taasisi ya Global Education Link (GEL) akifafanua jambo wakati akitoa
maelekezo jinsi mfumo wa udahili na ufuatiliaji wa maendeleo ya
wanafunzi unavyoanya kazi katika taasisi hiyo yenye ofisi viwanja vya
Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mkurungezi wa Taasisi ya Global
Education Link (GEL)Bi. Zakia Nasar akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo.
……………………………………………………………………………….
Mkurugenzi wa kampuni ya GLOBAL
EDUCATION LINK LTD[GEL] Bwana ABDULMALIK MOLLEL anatoa pongezi za dhati
kwa shule zote na wahitimu wote wa kidato cha sita wa mwaka wa masomo
2017.Pia Global Education Link LTD inapenda kuwajulisha kwamba
inaendelea kutoa huduma zake za udahili wa vyuo vikuu nje ya nchi kwa
wanafunzi wanaopendelea kwenda kusoma nje ya nchi kama
CHINA,UK,USA,INDIA,AUSTRALIA,UKRAINE,MALAYSIA,SOUTH AFRICA kwa kozi
mbalimbali kama Udktari,Ufamasia,Sheria,Urubani,Biasharana na fani
nyinginezo nyingi.
Kwa huduma zetu tembelea ofisi
zetu makao makuu zilizopo MWL.J.K. Nyerere International Trade Fair
Ground Barabara ya Kilwa P.O.BOX 40163 DAR ES SALAAM
Kwa wakazi wa mikoani tunapatikana katika ofisi zetu zilizopo Mbeya,Tanzania Century Plaza 2nd
Floor mkabala na Mwanjelwa Complex ,Kwa wakazi wa DODOMA Ofisi zetu
zinapatikana Tanzania Baseline House mkabala Nyerere Squre 1st floor , Kwa wakazi wa ZANZIBAR,UNGUJA,PEMBA tupo St.Muzzamil Center Block A Office No.39, 3rd floor.
Kwa wakazi wa Arusha Ofisi zetu
zipo tanki la maji mkabala DR.Mohamed Hospital,Kwa wakazi wa Mwanza
ofisi zetu zipo ROCK CITY MOLL 2nd Floor au tembelea tovuti yetu www.gel.co.tz au info@gel.co.tz au unaweza ukatutafuta kwa namba za simu +255 656 200200
No comments:
Post a Comment