• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 14 July 2017

    MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA IRELAND NA BI. GRACA MACHEL

     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
    Hassan akimsikiliza Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
    Robinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
    Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Rais huyo Mstaafu aliongozana na Mjumbe mwingine wa Taasisi
    hiyo Bi. Graca Machel . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
    Hassan akimsikiliza Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
    Robinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
    Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Rais huyo Mstaafu aliongozana na Mjumbe mwingine wa Taasisi
    hiyo Bi. Graca Machel . (Picha na Ofisi ya Makamu wa
    Rais)

     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
    Hassan akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
    Robinson pamoja na Bi. Graca Machel ambao ni Wajumbe wa Taasisi
    inayoshughulika na
    Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, wengine pichani ni Ujumbe
    ulioongozana na Viongozi hao pamoja na Wasaidizi wa Makamu wa Rais.
    (Picha na Ofisi ya Makamu wa
    Rais)

     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
    Hassan akimsikiliza Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
    Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Bi. Graca Machel ambaye aliongozana na  Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
    Robinson kumtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
    Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
    Robinson (kulia) ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
    Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, kushoto ni Mjumbe wa Taasisi
    hiyo Bi. Graca Machel mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye ofisi za
    Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
    Rais).

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI