Mhe. Spika Job Ndugai akiwa
katika mazungumzo na Maspika wa Nchi za Uganda (kwanza kushoto) Mhe.
Rebeka Kadaga ,Afrika Kusini (pili kushoto)Mhe. Thandi Modise na Naibu
Spika wa Cameroon kulia) Mhe. Monjowa Lifaka .Spika Ndugai yuko nchini
Nigeria kuhudhuria mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola
Barani Afrika.
..

Thursday, 27 July 2017
Habari

No comments:
Post a Comment