Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na
wafanyakazi wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi
wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo
Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya kuandaa
mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka
mitano.
Wawezeshaji wa kuandaa mpango
mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa
kipindi cha miaka mitano kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe wakimsililiza
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati
akizungumza katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo
Kikuu cha Mzumbe Prof. AndrewMbwambo wakati wa mafunzo ya kuandaa
mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka
mitano.
Picha na JKCI
No comments:
Post a Comment