Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akiongozana na Meneja Masoko
Tuntufye Mwambusi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa
katika Maonyesho ya 41 ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Meneja Masoko wa NHC Tuntufye
Mwambusi akimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi.
Mh. William Lukuvi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa
katika maonesho ya 41 ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akisani kitabu cha wageni
alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonyesho ya 41
ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa
Afisa Masoko Mwandamizi wa NHC Emmanuel Lyimo akitoa maelezo ya miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba
Afisa Mauzo Mwandamizi wa NHC. Joseph Haule akitoa maelezo kwa Wananchi waliotembelea banda la NHC katika viwanja vya Sabasaba
No comments:
Post a Comment