Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amefanya ziara ya
kushtukiza tarehe 02 Julai, 2017 katika Eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro na kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya kuona
maendeleo ya shughuli za utalii na changamoto zilizopo. HAYA NI MATUKIO
YA ZIARA HIYO KATIKA PICHA.
..








No comments:
Post a Comment