• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 19 July 2017

    ZIARA YA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM KIGOMA YAFANA, AKAGUA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2015-2020

    KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kulia) akipokea zawadi ya Sabuni alipotembelea na kukagua Utekelezaji wa ilani ya CCM katika kikundi cha vijana wanaojishuhulisha na Mradi wa uwekezaji viwanda vidogo vidogo katika utengenezaji wa sabuni na usimikaji wa dagaa katikakata ya mwanga wilayani Kigoma mjini Mkoa wa Kigoma.
     MBUNGE wa Viti Maalumu Zainab Katimba akizungumza na viongozi wa mashina na matawi wapya  waliochaguliwa,kata na wilaya ya kigoma mjini wa chama cha mapinduzi na jumuiya zake katika ukumbi wa mikutano Kizito Kigoma Mjini.
     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akisimikwa na wazee wa mkoa wa kigoma
     wanachana wakiendelea kusikiliza kwa umakini
    KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi wa mashina
    na matawi wapya  waliochaguliwa,kata na wilaya ya kigoma mjini wa chama
    cha mapinduzi na jumuiya zake katika ukumbi wa mikutano Kizito Kigoma
    vijijin.

     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akiagana pamoja na Viongozi mbali mbali Wilayani Kigoma Mjini mara baada ya Mkutano
     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akiwa amebeba Mtoto
    kipeperushi cha kumkaribisha KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka .katika wilaya ya Kigoma vijijin
     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akishiriki katika zoezi la ufyatuaji wa matofali katika kikundi cha Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa kilichoanzishwa mwaka 2015
      KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
    akishiriki katika zoezi la ubebaji wa matofali katika kikundi cha
    Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali
    wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa
    ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa
    kilichoanzishwa mwaka 2015

      MBUNGE wa Viti Maalumu Zainab Katimba
    akishiriki katika zoezi la ufyatuaji wa matofali katika kikundi cha
    Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali
    wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa
    ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa
    kilichoanzishwa mwaka 2015

      KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na wana hisa wa kikundi cha
    Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa

     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka wa( kwanza kulia) akishiriki akishiriki kazi ya Uchimbaji Msingi kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na Salama katika kijiji cha kalinza na mlagala ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa CCM 2015-2020 Mradi ambao utagharimu Tshs 786642000/=Fedha zinazotoka mfuko mkuu wa serikali.
     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
    wa( kwanza juu kulia) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Tank kwa
    ajili ya usambazaji wa maji safi na Salama katika kijiji cha kalinza na
    mlagala ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa CCM
    2015-2020 Mradi ambao utagharimu Tshs 786642000/=Fedha zinazotoka mfuko
    mkuu wa serikali.

     KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akifungua shina la wakereketwa na kisha kuzungumza na kundikubwa la vijana katika kata ya kagongo kijiji cha mgaraza ambapo pia aliwapokea viongozi 19 waandamizi wa wilaya na kata toka katika vyama CUF,ACTWazalendo na NCCR Mageuzi ambao aliwakaribisha na kuwakabidhi kadi za CCM.
     MBUNGE wa Viti Maalumu Zainab Katimba akizungumza na viongozi wa mashina
    na matawi wapya   waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
    wa cha mapinduzi na jumuiya zake.

      Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi akizungumza na viongozi wa mashina
    na matawi wapya   waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
    wa cha mapinduzi na jumuiya zake.

      KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akipokea katia ya moja wa wanachama wapya waliotoka katika vyama vya upinzani
       KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi wa mashina
    na matawi wapya   waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
    wa cha mapinduzi na jumuiya zake.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI