Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 15, 2017 akisalimiana na Wanachama wa chama
cha Mapinduzi CCM na Jumuiya zake mara baada ya kuwasili Visiwani
Pemba-Zanzibar
kwa Ziara ya kikazi.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Ndg Abdallah
Rashid Ali akielezea namna Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inavyotekeleza ilani
ya CCM mbele ya Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Mara baada ya kuzuru
katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na maafisa wa serikali pamoja na
Viongozi
Mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake Mara baada ya kuzuru
katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)(kulia) akizungumza na viongozi wa kikundi cha
Vijana wa Jasiriamali wa mboga mboga (Mtaji wa masikini)wadi ya pujin
mara maada ya kukagua mazao mbali mbali yanayolimwa na kikundi hicho.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Ndg Abdallah
Rashid Ali (kulia)akielezea jambo kwa Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza mara baada ya kumaliza kukagua
mradi wa kikundi cha Vijana wa Jasiriamali wa mboga mboga (Mtaji wa masikini)wadi ya pujin
Meneja
Mradi wa Barabara yenye urefu wa km 35 ya ole ngeneja Amin khalid
abdallah akitoa ufafanuzi juu ya maendeleo ya mradi huo kwa ndg:Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipokwenda kukagua ujenzi wa barabara hiyo.
Daktari dhamana katika hospitali ya chakechake Dkt.Ali Habib Ali akimpokea ndg: Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipowasili hospitalin hapo kuangalia wagonjwa na kuwafariji.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimpatia baadhi ya vifaa tiba mama mzazi wa
mtoto Bi,Salha Issa Nassor alipokwenda kuangalia wagonjwa na kuwafariji
katika hospitali ya Chake chake wilayan chakechake.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC(KWANZA KULIA)) akiwasili katika ukumbi wa
mkutano Tawi la CCM Wawi kuzungumza na Vijana wa CCM wilayani Chake
Chake Mkoa wa Kusini pemba
Vijana wakifuatilia mkutano huo.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Vijana wa CCM wilayani Chake Chake Mkoa wa Kusini pemba katika ukumbi wa mkutano Tawi la CCM Wawi
''Watumishi
wa umma mmepewa dhamana kubwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mhe.Dkt,John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar DktAli Shein
hivyo ni matarajio ya chama cha mapinduzi na serikali,watumishi wote
kusimamia na kuwajibika ili kutekeleza ilani kwa uimara''Alisema ndg: Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) wakati akizungumza na maafisa
wadhamini,wadhamini wa mabaraza ya mji na madiwani,katika ukumbi wa
skuli ya chekechea mdungu wilayani Chake Chake Mkoa wa Kusini pemba.
Maafisa wadhamini,wadhamini wa mabaraza ya mji na madiwani wakimsikiliza ndg: Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
''Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar ipo chini ya CCM hinyo kila kiongozi
alieajiriwa na serikali ana jukumu moja kubwa la kutekeleza ilani kwa
maslahi mapana na umakini mkubwa''Aliendelea kusisitiza ndg: Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) wakati akizungumza na maafisa
wadhamini,wadhamini wa mabaraza ya mji na madiwani,katika ukumbi wa
skuli ya chekechea mdungu wilayani Chake Chake Mkoa wa Kusini pemba.
(Picha na Fahadi Siraji
No comments:
Post a Comment