Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika
kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi
wa WFP nchini Bw. Michael Danford wakati akiwasili kwenye ufunguzi wa
Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha
Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na watoto waliozaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi
(Hydrocephalus and Spina Bifida) na wasabi wao wakati ufunguzi wa
Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha
Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki iliyopikwa
kwa unga wa mahindi wenye vitamini A na ngano mara baada ya ufunguzi wa
Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha
Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya
virutubishi vya watoto kutoka kwa makamu Mkurugenzi wa Shirika la SOLEO
Bi. Grace Mghamba
mara baada ya ufunguzi wa
Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha
Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment