Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein
(kushoto)alipofuatana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
pia Kaimu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe.Balozi Ali Abeid
Karume leo wakati alipotembelea Kituo cha Kununulia karafuu Bandarini
Wete mkoa wa kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi
mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kituo cha Ununuzi wa Karafuu wa Bandarini Wete Pemba
wakiwa katika zoezi la Utiaji wa karafuu katika magunia ambazo
zimeshanunuliwa na Shirika la ZSTC wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (hayupo pichani)
alipotembelea Kituo hicho katika Bandarini Wete Mkoa wa kaskazini Pemba
leoakiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo,[Picha na Ikulu.]23/08/2017.
No comments:
Post a Comment