Baadhi ya wananchi wakifurahia
jambo wakati wa hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe
za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta
ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali alipowasili
katika eneo la Chongoleani kuhudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la
Msingi la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima
Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali wa
serikali alipowasili katika eneo la Chongoleani kuhudhuria sherehe za
uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi
kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi alipowasili
katika eneo la Chongoleani katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi
la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda
hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa
Uganda Yoweri Kaguta Museveni alipowasili eneo la Chongoleani katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la kusafirisha
mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimueleza jambo Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi
wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi
Tanga Nchini Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin
Shigela akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda
hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo aliwaahidi Rais Magufuli na Rais
Museveni kuwa wataulinda mradi huo kwa faida ya nchi hivi mbili na Afika
Mashariki kwa Ujumla.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe. Medard Kalemani akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini
Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo alimpongeza Rais Magufuli na
Rais Yoweri Museveni kwa uamuzi wa kulipitisha bomba hili nchini
Tanzania kwani litakuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo kwa nchi hizi
mbili.
Waziri wa Nishati wa Uganda Irene
Muloni akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi
wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi
Tanga Nchini Tanzania aliwapongeza Rais Magufuli na Rais Yoweri Museveni
pamoja na timu ya wataalamu waliofanikisha hatua iliyofikiwa ya
utekelezaji wa Mradi wa huu.
Rais wa Kampuni ya akiongea
wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la
kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini
Tanzania ambapo waliwaahidi Rais Magufuli na Rais Yoweri Museveni
kumaliza mradi huu kwa wakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na wasanii
waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la
kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini
Tanzania
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda
hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo alisema mradi huu uwe chachu ya
kuimarisha uchumi ili kuwa na jumuiya imara ya Afrika Mashariki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni baada ya kumaliza kuhutubia katika sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka
Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Makamu wa Rais Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpa mkono Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumaliza kuhutubia katika sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi
kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati wa sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka
Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo aliwataka wananchi
wa nchi za Uganda na Tanzania kuutumia mradi huu kwa manufaa ya nchi
hizi mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni wakifunua kitambaa kuashiria kuwekwa kwa jiwe la msingi la
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda
hadi Tanga Nchini Tanzania, wanaoshuhudia Kulia ni Makamu wa Rais Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani
na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Kushoto ni Waziri wa Nishati wa
Uganda Mhe. Irene Muloni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni wakipeana mikono baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa
bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga
Nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni wakiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali wa
Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni wakiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali wa
Serikali.
No comments:
Post a Comment