Jukwaa la wahariri limetengua zuiyo hilo baada ya kukutana na mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul Makonda kulijadili kwa kina na kuona sababu za kutengua
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa Paul Makonda
ametamka hadharani kuwa hatoomba msamaha na wala haitakuja kutokea.
Licha ya kauli hiyo Jukwaa la Wahariri Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Novatus Makunga wametamka kwa kauli moja kumfungulia Makonda kuanza kuandika Habari zake
Uamuzi huo Bado waandishi wa Habari hawajaridhishwa na hatua hiyo kwakuwa walitaka Makonda atamke kwa kinywa chake kuiomba radhi tasnia nzima ya Habari.
No comments:
Post a Comment