Kamati ya ardhi na mawasiliano baraza la wawakilishi Zanzibar..limefanya ziara katika shirika la ndege ATCL jijini dar es salaam.
Katika ziara hiyo imeibua mambo kadha katika shirika la ndege kwa upande wa Zanzibar na Pemba.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi na mawasiliano baraza la wakilishi Zanzibar Hamza Hassan Juma amelitaka shirika ilo kuboresha miondombinu kwa upande wa Unguja na Pemba
Ameyasema hayo baada ya kuona hali ya usafiri wa anga kushuka chini na kupelekea baadhi ya wananchi kulishanga shirika hilo kwa sababu shirika hilo limesahaulika visiwani unguja na pemba
Kwa upande wake naibu waziri wa mawasiliano ..amepokea changamotoa hizo zinazo wakabili wazazimbar .
Ameahidi kuboresha muondombinu visiwani humo
Pia alitumia fusra hiyo kuwataka watanzani kuiliunga mkono shirika la ndege Tanzania ..kwa kutumia ndege zake kwa sasa wamejipanga vyakutosha ..

No comments:
Post a Comment