
Beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbel tayari ametua nchini kwa ajili ya ziara ambayo ni mwaliko wa SportPesa Tanzania.
Campbell ametua na kupokelewa na wenyeji wake SportPesa na baadaye
mashabiki wa Arsenal ambao walijitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA) kumpokea.

No comments:
Post a Comment