Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha
Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo
akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya
Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni
Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika
ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha
Mapinduzi CCM alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha
Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya
kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka
jiwe la msingi Jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani leo,akiwa katika ziara ya
kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) Mkuu wa KMKM Comodoo Mussa hassan
Mussa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipata maelezo
kutoka kwa Camanda(CAR) Hamadi Masoud Khamis wakati alipotembelea jengo
la Ofisi ya KMKM Mkoani Pemba baada ya kuliweka jiwe la msingi akiwa
ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
Wanannchi na Makamanda wa Kikosi cha KMKM leo mara baada ya kuliweka
jiwe la msingi Jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani ,akiwa katika ziara ya
kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba (kulia) Mkuu wa KMKM Comodoo Mussa hassan
Mussa
Baadhi ya Makamanda wa KMKM
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi
na Makamanda hao mara baada ya kuliweka jiwe la msingi Jengo la Ofisi
ya KMKM Mkoani leo,akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi
mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Picha na Ikulu.24/08/2017
No comments:
Post a Comment