Jaji
Mkuu David Maraga ameagiza: Uuchaguzi wa urais uliofanyika 8 Agosti,
2017, haukuandaliwa kwa mujibu wa katiba na sheria, hivyo matokeo yake
ni batili.
"Natangaza hapa kwamba Bw Kenyatta hakuchaguliwa na kutangazwa kwa njia inayofaa.
"Agizo linatolewa, kuagiza Tume ya Uchaguzi kuandaa na kufanyisha uchaguzi mwingine kwa kufuata katiba na sheria katika kipindi cha siku 60."

Uchaguzi si tukio, ni mchakato, kuanzia mwanzo hadi mwisho."
Ninaamini tutaonyesha ni kwa nini tulifikia uamuzi wetu, kwa kuangalia uchaguzi wote kwa jumla, kwamba uchaguzi haukuandaliwa kwa mujibu wa katiba.
Ninaamini tutaonyesha ni kwa nini tulifikia uamuzi wetu, kwa kuangalia uchaguzi wote kwa jumla, kwamba uchaguzi haukuandaliwa kwa mujibu wa katiba.
- Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi wa uchaguzi huo akiwa na kura 8,203,290 (54.27%)
- Tume ya uchaguzi ilisema Raila Odinga alipata kura 6,762,224 (44.74%)
- Upinzani unadai mitambo ya tume ya uchaguzi ilidukuliwa na kuingiliwa kumfaa Rais Kenyatta.
- Wakati wa kusikizwa kwa kesi, kulikuwa na mvutano kuhusu kukaguliwa kwa mitambo ya tume ya uchaguzi
- Mahakama ya Juu inaweza kuidhinisha au kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi.
- Iwapo ushindi wa Rais Kenyatta utaishinishwa, basi ataapishwa Septemba 12
- Iwapo uchaguzi utafutiliwa mbali, uchaguzi mwingine utafanyika katika kipindi cha siku 60.
No comments:
Post a Comment