• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 8 September 2017

    Mbowe: Madaktari wanajitahidi kumuokoa Tundu Lissu Nairobi

    Related imageMbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi Alhamisi mjini Dodoma, Nairobi anaendelea kupokea matibabu alikolazwa mjini Nairobi.

    Kufikia saa 10 alasiri, madaktari walikuwa bado wanaendela na upasuaji wa zaidi ya saa 4 wakijaribu kutoa risasi 21 zilizokuwa zimemdhuru kiongozi huyo wa upinzani.

    Mwandishi wetu Idris Situma amezungumza na mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye aliongoza shughuli nzima ya kumkimbiza bwana Lissu Nairobi, na alianza kwa kumuuliza hali halisi ya mgonjwa ikoje?

    CHANZO BBC SWAHILI.COM

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI