Soma taarifa kamili:
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai ametoa taarifa
kuhusu kushambuliwa kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambae
baada ya kupata shambulio hilo alipelekwa katika hospitali ya Dodoma
mjini na hatimae kupelekwa nchini Kenya kwa matibabu.
Soma taarifa kamili:



Soma taarifa kamili:
No comments:
Post a Comment