Mwakilishi wa Jimbo Tunguu Zanzibar
Mhe, Simai Mohammed Said akizungumza na wananchi wa Jimbo lake katika
Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla
ya kukabidhi fedha Vikundi 13 vya Ushirika vya Wananchi wa Kae Pwani
Unguja. Mchango huo umetolewa na Mbunge na Mqwakilishi kuchangia vikundi
hivyo kwa ajili ya kutunisha mifuko ya vikundi vya vinavyojishughulisha
na ujasiriamali wa kutengeneza bidhaa na kilimo na kukupeshana, hafla
hiyo imefanyika katika Tawi la CCM Ungua Ukuu Kae Pwani.
Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni, Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu Wetu.
Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni, Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu Wetu.
Baadhi wa Viongozi wa Vikundi vya Ushirika katika Shehia za Kae Pwani Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla hiyo.
Sheha wa Shehia ya Kae Pwani Ndg.
Khamis Ibrahim akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa
Vikundi vya Ushirika vua Shehia hiyo zilizotolewa na Mbunge na
Mwakilishi wa Jimbo hilo la Tunguu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika
katika Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Pwani.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar
Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha Mwenyekiti wa Kikundi cha
Tushikamano wakati wa hafla hizo kukabidhi fedha hizo zilizotolewa na
Mbunge na Mwakilishi kutunisha Mfuko wa Kikundi Chao..
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu
Zanzibar Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha Mwenyekiti wa Kikundi
cha Aso Mtu Ana Mungu, wakati wa hafla hizo kukabidhi fedha hizo
zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi kutunisha Mfuko wa Kikundi Chao.. Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha Mwenyekiti wa Kikundi cha Tuwe Nao,wakati wa hafla hizo kukabidhi fedha hizo zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi kutunisha Mfuko wa Kikundi Chao..
Baadhi ya Viongozi wa Vikundi vya
Ushirika wakifuatilia hafla hiyo. ya kukabidhiwa fedha kutunisha mfuko
wa vikundi vya jumla ya vikundi 13 vimekabidhiwa fedha taslim
zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo lao la Tunguu Zanzibar.
Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia
Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni, Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki
Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu
Wetu.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya
Kati Unguja Mkoa wa Kusini Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza baada
ya kukabidhi fedha kwa Vikundi vya Ushirika vya Kae Pwani Unguja Ukuu
Unguja fedha hizo zimetolewa kwa pomoja yeye na Mbunge wake kwa ajili ya
Wananchi wa Jimbo lao kukuza Mtaji wa Vikundi vyao vya ushiriki
vinavyojishughulisha na kilimo cha mboga mbogo, kuweka na kukopa na
vikundi vya Ujasiriamali, hafla hiyo imefanyika katika Tawi la CCM
uNGUJA Ukuu Kae Pwani.
Baadhi ya Viongozi wa Vikundi vya Ushirika wakifuatilia hafla hiyo. ya kukabidhiwa fedha kutunisha mfuko wa vikundi vya jumla ya vikundi 13 vimekabidhiwa fedha taslim zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo lao la Tunguu Zanzibar. Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni, Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu Wetu.
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kae Pwani
Ndg.Ali Muhidini akizungumza na kutoa nasaha zake kwa Wananchi wa
Vikundi vya Ushiriki kushikamano na kuvikuza vikundi vya katika
kujiletea maendeleo ya kipato kupitia katika vikundi vyao.
Katibu wa CCM Tawi la CCM Kae Pwani
Ndg. Daruweshi Ali akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha
Vikundi 13 vya Ushirika katika Shehia ya Kae Pwani.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.
Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Tawi
la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya Ushirika vya Shehia hizo mbili
za Kae Pwani.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.
Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Tawi
la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya Ushirika vya Shehia hizo mbili
za Kae Pwani
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.
Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Tawi
la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya Ushirika vya Shehia hizo mbili
za Kae Pwani
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar
Mhe Simai Mohammed Said akimsalimia Mtoto Mulhat Ai Ramadhani wakati
alipofanya ziara kutembelea Wananchi wa Jimbo lake la Tunguu na
kukabidhi fedha kwa vikundi 13 ili kutunisha mfuko wa vikundi vyao,
katika shehia ya Kae Pwani Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja
No comments:
Post a Comment