• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 21 September 2017

    Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea


    SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi.
    Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Mwl Julias Nyerere majira ya saa 11 Jioni akiwa kwenye kiti cha mgonjwa akisukumwa na wahudumu wa Uwanja huo.
    Jana Kubenea aliondolewa kwenye Hospitali ya Aga Khan ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya Spika wa Bunge Job Ndugai kwamba afikishwe mbele ya kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI