Naibu jaji mkuu nchini Kenya Philomena Mwilu amesema IEBC kushindwa kufuata agizo la mahakama kuhusu madai yaliyoibuliwa na upinzani inaashiria na kuonesha kuwa madai ya udukuzi yalikuwa ni ya ukweli.
Jaji Mwilu amesema mahakama ilikubaliana na madai ya upinzani kuwa matokeo yalitangazwa kabla ya matokeo yote kutoka kwa vituo 40,000 kupokelewa.
“Uchaguzi haukuwa na uwazi na hatukuwa na lingine ila kuufuta,” naibu jaji huyo alisema
No comments:
Post a Comment