Ujenzi huo unaodhaminiwa na Ubalozi wa Japani nchini Tanzania umegharimu shilingi milioni 323.
Mara baada ya ukaguzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
ameeleza kuridhishwa na hatua za ujenzi huo wa jengo la huduma za
dharura na kwamba kukamilika kwa ujenzi huo mwishoni watahamia katika
Wilaya za Ilala na Kinondoni
Kwamujibu wa mkandarasi Abdulkadir Msangi amesema mpka sasa hatua za
ujenzi umekamilika kwa asilimia 85% na kwamba litakamilika kabla ya
Mwezi Desemba.
Kwa upande wa Mganga mkuu Hospitali ya Temeke Amani Malima amesema
kukamilika kwa jengo hilo kutasaidia huduma za dharura kuptikana kwa
huduma hiyo kwa haraka badala ya kuwapeleka Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kama ilivyosasa, ambapo mpaka sasa hospitali hiyo inapokea
wagonjwa 2000 kwa siku na miongoni mwao Wagonjwa 200 huwa wanahitaji
huduma za dharura.
Ujenzi huo unaodhaminiwa na Ubalozi wa Japani nchini Tanzania umegharimu shilingi milioni 323.
Ujenzi huo unaodhaminiwa na Ubalozi wa Japani nchini Tanzania umegharimu shilingi milioni 323.

No comments:
Post a Comment