Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, akisalimiana na waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya,
aliokutananao Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo leo, IGP Sirro, yupo mkoani humo
kwa ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na
kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, Katibu Tawala mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja na kamanda wa
Polisi mkoani humo (DCP) Mohamed Mpinga, wakiwa katika picha na wajumbe
wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa baada ya kikao kazi cha
kubadilishana uzoefu katika kazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, akikagua gwaride maalumu aliloandaliwa kwa ajili yake
alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza
na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya
kuwasaidia.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, akizungumza na askari wa kikosi maalumu cha kupambana na
uhalifu wa kutumia silaha za moto cha mkoa wa Mbeya, akiwa kwenye ziara
ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo
na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia.
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment