![]() |
| Kim Jong-un |
Kiongozi wa Korea
Kaskazini, Kim Jong-un, amempandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa
madaraka zaidi katika chama tawala cha wafanyakazi.
Kim Yo-jong,
anayeaminika kuwa na umri wa zaidi ya miaka 26 amekuwa mjumbe katika
kamati kuu ya chama, ambalo ni baraza kuu la uamuzi linalojulikana kama
politburo.- Nani alimrukia Kim Jong-un?
- Kim Jong-un aahidi kurusha makombora zaidi Pacific
- Trump: Ningependa kukutana na Kim Jong-un
Familia ya Kim, imeongoza Korea Kaskazini, tangu nchi hiyo ilipoundwa, mwaka wa 1948.

No comments:
Post a Comment