• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 8 October 2017

    Waislamu kufanyiwa sensa kila tanzania

    Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir amewaagiza makatibu wa mabaraza ya BAKWATA katika ngazi ya mikoa kufanya sensa ya kubaini waislamu waliopo katika mikoa yao.


    Mufti Zubeir amesema hayo kwenye mkutano uliofanyika leo (Jumapili) katika makao makuu ya bakwata yaliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam.
    Mufti amesema kupitia sensa hiyo BAKWATA itaweza kupanga vyema mipango yake ya maendeleo pindi idadi halisi ya waislamu itakapojulikana.
     chanzo ITV

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI