![]() |
| Trump: Ni kitu kimoja tu kitafanya kazi kwa Korea Kaskazini |
Korea Kaskazini inasema kuwa imefanikiwa kulifanyia jaribio bomu la haidrojeni ambalo linaweza kubebwa na kombora la masafa marefu.
Awali Trump ameonya kuwa Marekani itaiharibu Korea Kaskazini ikiwa itahitajika kujilinda pamoja na washirika wake

Kiongozi wa Korea Kaskazini siku ya Jumamosi alisifu silaha za nyulia kama kitu cha nguvu kinachoipa nchi yake ulinzi.
Hivi majuzi Korea Kaskazini ilirusha makombora kupitia anga ya Japan na kupuuza vikwazo vya kimataifa na kufanya jaribio lake la sita ya nyulia mwezi Septemba.
Imetangaza kuwa ifanya jaribio lingine katika bahari ya Pacific

No comments:
Post a Comment