Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia),
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro,
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka (kushoto), pamoja
na Maafisa wengine wa Jeshi hilo, wakitoka katika Gereza la Kilimo
Idete lililopo Ifakara, mara bada ya Naibu Waziri huyo kupokeataarifa ya
Ujenzi wa Mradi wa Umwagiliaji uliosimama baada ya Mkandarasi
kuutelekeza mradi huo wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.5. Hata hivyo,
Masauni alilitaka Jeshi hilo kufanya uchunguzi dhidi ya Mkandarasi huyo
na ikithibitika anamakosa akamatwe na achukuliwe hatua za kisheria.
Karani wa Ujenzi wa Mradi wa
Umwagiliaji wa Gereza la Kilimo Idete, Ifakara, Mkaguzi wa Jeshi la
Magereza, Juma Mtega, akimuonyesha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),chanzo cha ujenzi wa mradi huo.
Masauni alifanya ukaguzi wa mradi huo wa mabilioni ya fedha ambao
Mkandarasi aliutelekeza mwaka 2016. Hata hivyo, Masauni alilitaka Jeshi
la Magereza kufanya uchunguzi dhidi ya Mkandarasi huyo na ikithibitika
anamakosa akamatwe na achukuliwe hatua za kisheria.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Mkoa wa
Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka,
akimuonyesha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (kulia), sehemu mbalimbali za Ujenzi wa Mradi wa Umwagiliaji wa
Gereza la Kilimo Idete, Ifakara, wakati Masauni alipofanya ziara ya
ukaguzi wa ujenzi huo wa zaidi ya shilingi Bilioni 2.5 uliosimama baada
ya Mkandarasi wa mradi huo, kuutelekeza mwaka 2016. Hata hivyo, Masauni
alilitaka Jeshi hilo kufanya uchunguzi dhidi ya Mkandarasi huyo na
ikithibitika anamakosa akamatwe na achukuliwe hatua za kisheria.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akitoa maelekezo kwa viongozi wa
Jeshi la Magereza Mkoa wa Morogoro ya kumchunguza na kumchukulia hatua
za kisheria endapo itathibitika Mkandarasi aliyesimamisha Ujenzi wa
Mradi wa Umwagiliaji wa Gereza la Kilimo Idete, Ifakara, alifanya makosa
kwa kusimamisha ujenzi wa mradi huo wa mabilioni ya fedha, tangu mwaka
jana 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mkoa huo, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akitoa maelekezo kwa viongozi wa Jeshi la
Magereza Mkoa wa Morogoro ya kumchunguza na kumchukulia hatua za
kisheria endapo itathibitika Mkandarasi aliyesimamisha Ujenzi wa Mradi
wa Umwagiliaji wa Gereza la Kilimo Idete, Ifakara, alifanya makosa kwa
kusimamisha ujenzi wa mradi huo wa mabilioni ya fedha, tangu mwaka jana
2016. Kushoto ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mkoa huo, Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Mkoa wa
Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka,
akimfafanuliaNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (katikati), kuhusu Ujenzi wa Mradi wa Umwagiliaji wa Gereza la
Kilimo Idete, Ifakara, wakati Masauni alipofanya ziara ya ukaguzi wa
ujenzi huo wa zaidi ya shilingi Bilioni 2.5 uliosimama baada ya
Mkandarasi wa mradi huo, kuutelekeza mwaka 2016. Hata hivyo, Masauni
alilitaka Jeshi hilo kufanya uchunguzi dhidi ya Mkandarasi huyo na
ikithibitika anamakosa akamatwe na achukuliwe hatua za kisheria.
No comments:
Post a Comment