• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 27 October 2017

    Picha: Katibu mpya wa Bunge, Ndg. Kagaigai akabidhiwa ofisi rasmi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ashuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge,Dkt. Kashililah akikabidhi ofisi ya Katibu mpya wa Bunge Ndg Kigaigai Jijini Dar es Salaam.
    Aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt Kashililah amkabidhi Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Kagaigai Mbele ya Spika Ndugai Jijini Dar es Salaam.

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akishuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, mapema leo Jijini Dar es Salaam.

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai katikati akizungumza na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akifurahia jambo na aliyekuwa katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI