……………………………………………………………
Kiongozi
mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki
kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.
Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu
Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa
ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya
kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
Bw. Odinga anasema amejiondoa ili
kuipa tume ya uchaguzi IEBC muda wa kutosha kufanya mabadiliko ambayo
yatawezesha kufanyika uchaguzi kwa njia ili nzuri.
Awali tume ya uchaguzi ilikuwa imemtangaza rais wa sasa Uhuru Kenyatta kuwa msh
No comments:
Post a Comment