Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki kiongozi waJumuiya ya
Ismailia duniani H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipomtembelea
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Jumuiya
ya Ismailia duniani H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan
alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wa serikali katika picha
ya pamoja na kiongozi waJumuiya ya Ismailia duniani H.H. Prince Karim
al-Hussayni Aga Khan na ujumbe wake alipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia
duniani H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia
duniani H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan wakiongea na wanahabari
(hawapo pichani) mgeni huyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Oktoba 11, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment