Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad
Rashid Mohamed mara alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo
maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali
mbali leo wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum
lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
Mhe.Dkt.Islam Seif Salum (Mchenga) wakati alipowasili katika Ufunguzi
wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya
eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia
kufungua Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika
Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B”
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed ,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum
lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
10/10/2017.
Baadhi ya Vijana waliovalia
sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum
lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
10/10/2017.
Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa
katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya
Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani
Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa
leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

Baadhi ya Viongozi mbali mbali
na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum
lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
10/10/2017.
Taasisi ya utafiti wa kilimo
Zanzibar wakionnesha kazi zao wanazofanya katika maonesho ya Maadhimisho
ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa
Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
10/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa
hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi waliohudhuria katika
maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya
eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja alipoyafungua leo, [Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wakiwa picha ya
pamoja na wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya maonesho ya Maadhimisho ya
siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa
Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo
baada ya kufunguliwa rasmi na Mhe.Rais Shein, [Picha na Ikulu.]
10/10/2017.
No comments:
Post a Comment